Frequently Asked Questions

Tuna uzoefu wa miaka mitano, tumesajiliwa kisheria kupitia BRELA, na ofisi zetu zinapatikana mkoa wa Dar es salaam na pia tuna tawi Dodoma.

Malipo yote yanafanyika kupitia katika akaunti za kampuni, ambazo zipo kwenye benki zifuatazo: NMB na CRDB, na malipo ni ya awamu mbili.

Ubora wa gari unatokana na ripoti inayoitwa, ‘Inspection sheet’, inatoa taarifa zote kuhusu ubora wa gari.

Ndio inawezekana, pia tunaagiza magari aina zote kupitia tovuti tofauti.

Copyright © 2021. All rights reserved.